Search in the website:

Videos / Page 18

Flavaour- Obianuju(Official video)

12 septembre 2016

Kwenye akaunti yake ya YouTube,Flavour alitoa vidéo ihi tariki 11.9.2016

Read More

Tanzania l UJio mwingine wa CRAZY GK

11 septembre 2016

Kwa muda mrefu bila kuonekana kwenye anga la game la Bongo fleva mwanamuziki Crazy GK amerudi kivingine kwa video yake mpya iliyobatizwa jina la MZURI PESA.Pakua video hiyo hapa chini.

Read More

Burundi l Magic Soja (KINGORONGORO) ajipatia taji.

11 septembre 2016

Mwanamuziki wa kizazi kipya mwenye mtindo wa RAP anayetambulika sana nchini Burundi kwa jina la MAGIC SOJA au KINGORONGORO baada yakuachia wimbo wake unaotambulika kwa jina la ILE ILE WIMBO ambao umemjingia jina na kuupanua muziki waki ndani na nje ya nchi pia,kwa sasa ameonekana kuwakonga nyayo wapenzi na mashabiki wa muziki wake hapo ni […]

Read More

Barnaba Classic-Lover boy video official

11 septembre 2016

https://youtu.be/bpOqerHY0Pg
Read More

TID ft. Joh Makini – Confidence Official Video

10 septembre 2016

video mpya ya TID.

Read More

Pole africa By ETO DUNIA

9 septembre 2016

Msani ETO DUNIA wa Amani Kwanza Band Canada/Tanzania katowa video mpya inayo itwa «POLE AFRICA» Directed by William Muyuku / AfriqueCanadaTv.com. Swahili grands lacs Medias ina towa pongezi kwa msani ETO.

Read More

CONGO I Video KWANGA PAMBA BY AWILO LONGOMBA

6 septembre 2016

https://www.youtube.com/watch?v=WuEHx5wqkCs
Read More

New video I I love you by Sat B feat. Urban boys & Aimé bluestone

6 septembre 2016

Mwanamuziki anayetambulika kwa jina la SAT-B au SATURA MABAFLA kutoka nchini Burundi ameachia video ya wimbo wake unaobeba jina la I LOVE YOU ambao amewashirikisha Wanamuziki kutoka Nchini RWANDA ambao wanaunda kundi maarufu sana chini humo URBAN BOYS na kumpa shavu mwenzao AIME BLUESTONE.   Video hiyo ambayo iko chini ya usimamizi na udhamini wa […]

Read More

Rwanda I 3Hills Feat kidumu waachia video ya VIMBA VIMBA

6 septembre 2016

  Wanamuziki kutoka Nchini Rwanda wanaoliunda kundi zima la 3HILLS wameachia rasmi video ya wimbo wao ambao wamemshirikisha mzee kongwe kwenye muziki raia wa Burundi mwenye makazi yake Nchini Kenya anayejulikana kwa jina la JEAN PIERRE KIDUM au KIBIDO. Unaweza ukajionea video hio hapa chini bila chenga zozote’usisahau kuwashirikisha wenzako kwa mengi zaidi una na […]

Read More

Tekno – Pana [Official Video]

5 septembre 2016

Tuburudike na wimbo wa Techno. Wimbo wake Panana.

Read More

Load more

Share
Share