Mwanamuziki anayetambulika kwa jina la SAT-B au SATURA MABAFLA kutoka nchini Burundi ameachia video ya wimbo wake unaobeba jina la I LOVE YOU ambao amewashirikisha Wanamuziki kutoka Nchini RWANDA ambao wanaunda kundi maarufu sana chini humo URBAN BOYS na kumpa shavu mwenzao AIME BLUESTONE.

 

Video hiyo ambayo iko chini ya usimamizi na udhamini wa BUKIVLAB imeachiwa rasmi.Usikose huitazama hapa hapa bila kuzjizungusha mbali.Share na wenzako kwa mengi zaidi.

Favicon New video I I love you by Sat B feat Urban boys amp Aim bluestone