Wanamuziki kutoka Nchini Rwanda wanaoliunda kundi zima la 3HILLS wameachia rasmi video ya wimbo wao ambao wamemshirikisha mzee kongwe kwenye muziki raia wa Burundi mwenye makazi yake Nchini Kenya anayejulikana kwa jina la JEAN PIERRE KIDUM au KIBIDO.

Unaweza ukajionea video hio hapa chini bila chenga zozote’usisahau kuwashirikisha wenzako kwa mengi zaidi una na sisi kupitia page yetu ya Facebook.

 

Favicon Rwanda I 3Hills Feat kidumu waachia video ya VIMBA VIMBA