Search in the website:

Share this page on:

Twitter Facebook Pinterest

HABARI ZA GRANDS LACS

Ukosefu wa maji wapelekea ndoa kuvunjika mchini DRC

23 avril 2019

Ukosefu wa maji safi katika kijiji cha kasaka mashariki mwa drc tarafani fizi wapelekea ndoa kuvunjika. Albert Nzobe/ SGLM.

Read More

Felix Tshisekedi ameteuliwa Kuwa raisi wa RDCongo

10 janvier 2019

mchini DRCongo Felix Tshisekedi amechaguliwa  kama Raising Wa inchi . Namepita na sauti za watu millioni Saba na amsini na moja elfu.

Read More

Mandamano tarehe 26 April2018

25 mars 2018

Serekali ya Tanzania imepinga vikali maandamano y’amani yameandaliayameandaliwa na wananchi siku ya ij’mosi tarehe 26 April mwaka huu. Kutokana na hari ilivyo kwasasa nchini Tanzania kumuonekana, kuporomikakuporomoka kwa Democrasia , Hali yamaisha kuwa duni, kutekwa na kuuwawa kwawatu kila kukicha, Kufungwa kwawatu hovyo kwakile kiitwacho uchochezi,…nk. Maandamano hayo yameipa hofukubwa serekali ya rais Magufuli, ambapo […]

Read More

Miili ya wanajeshi waliouawa DRC yarejeshwa Tanzania

11 décembre 2017

Miili ya wanajeshi 14 wa Tanzania waliouawa wakihudumu katika kikosi cha Umoja wa Mataifa cha kulinda Amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imewasili jijini Dar es Salaam, Tanzania. Miili hiyo imesafirishwa kwa ndege za Umoja wa Mataifa kutoka nchini DR Congo. Waliuawa wakati wa shambulio lililotekelezwa Alhamisi jioni kwenye kambi ya jeshi ya Semuliki […]

Read More

Kaba 5 mwana mziki wa miondoko ya bolingo kutoka Tanzania hakitua juza kuusu mafuriko Dar-es salam

28 octobre 2017

Mafuriko mchini Tanzania hapo Dar es salam. Yaani leo ni Bala.Bado swahilimedias ajipata Habari ya kuusu kifo cha mtu yeyote, lakini watu wame poteza vitu nyingi mali na nyumba zime bomoka.

Read More

Swahilimedia│Natacha avunja rikodi kwa comments baada ya kuachia wimbo wake mpya

23 octobre 2017

Mitandaoni leo imekuwa poa sana baada ya wana NGM kusema kwamba mitandaoni siyo poa,ila yote tisa leo ni poa. Baada ya masaa kama manne wimbo WANGU BY NATACHA FEAT. SHEBBAH kuachiwa rasmi na kuwekwa kwenye CHANNEL YA YOUTUBE YA NATACHA BURUNDI,zimeamka comments nyingi kibao za mashabiki zaidi wakionyesha kuikubali kazi hiyo. Sikiliza na Soma hapa […]

Read More

MARUDIO YA UCHAGUZI KENYA

6 septembre 2017

Kiongozi wa upinzani nchini Kenya,Raila Odinga ametangaza kuwa hayupo tayari kushiriki marudio ya uchaguzi mkuu wa urais nchini humo tarehe 17 mwezi October. Amesema kuwa anataka kuwepo mikakati ya kisheria na kikatiba inayohitajika,kabla ya yeye kukubali kushiriki uchaguzi huo. Odinga pia anataka tume ya uchaguzi kufanyiwa mabadiliko kwanza kwa sababu imeshawekewa mashaka na mahakama ya […]

Read More

Mashambulizi ya makundi yenye silaha yaongezeka DRC

7 juillet 2017

Hali ya usalama inaendelea kutisha ikiwa ni pamoja kuongezeka kwa mashambulizi ya makundi ya waasi katika wiki za hivi karibuni mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Katika mkoa wa Kivu Kaskazini, mji wa Beni ulikuwa ulikumbwa kwanza mapigano kati ya jeshi na makundi yenye silaha na kisha Rutshuru, na sasa wilaya ya Lubero inaendelea […]

Read More

Ufaransa yachangia Euro 250,000 kusaidia wakimbizi Tanzania

3 juillet 2017

Serikali ya Ufaransa imechangia kiasi cha Euro 250,000 kwa shirika la mpango wa chakula duniani, WFP ili wakimbizi nchini Tanzania waweze kupata msaada zaidi wa kifedha. Msaada huu unadhihirisha mchango wa serikali ya Ufaransa katika kuhakikisha kuna hali ya usalama wa chakula. Mwezi Desemba mwaka jana, WFP ilianza kusambaza shilingi za kitanzania 20,000 sawa na […]

Read More

Wema na wasanii wenzake washikiliwa kwa tuhuma za mihadarati Tanzania

4 février 2017

Polisi nchini Tanzania inawashikilia zaidi ya watu 10 wakiwemo wasanii maarufu na polisi waliotuhumiwa na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam kuhusika na biashara ya dawa za kulevya. Miongoni mwa watu hao wanaohojiwa yupo msaani maarufu na miss Tanzania wa mwaka 2006, Wema Sepetu, aliyeitikia wito wa polisi pamoja wasanii wenzake kufika kwa mahojiano. […]

Read More

Load more