Moise Katumbi katika uchaguzi wa rais mchini DRC
Kiongozi wa upinzani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Moïse Katumbi amewasilisha ombi lake la kugombea katika uchaguzi wa rais wa mwezi Disemba ambapo Rais Félix Tshisekedi atawania kuchaguliwa tena kwa muhula wa pili, chama chake kilitangaza Jumatano.