Search in the website:

Videos / Page 19

DIAMOND PLATNUMZ FEAT. NEYO – MARRY YOU (Behind the scenes )

3 septembre 2016

Akiwa nchini USA Diamond PLATNUMZ ana fanya video yake ambayo ali shirikisha NEYO.

Read More

African Queen version ya Kifaransa kutoka kwa msani: JANGO JACK

1 septembre 2016

Wewe mpenzi wa muziki kama una juwa msani wa Nigeria<Tuface IDIBIA> na wimbo wake Africa queen, basi swahili grands lacs medias ina kuwekea version ya kifaransa ya wimbo huo. Burudika na SGLM. Usikose Ku shirikisha hihi:

Read More

Q-Chillah – For You (Mdogo Mdogo)

1 septembre 2016

Q-Chillah we wacha tu. Mgoma kali anatowa . Pata video ya wimbo mdogo mdogo.

Read More

Dj Topaz ana tu mix video ya bongo Flava

1 septembre 2016

Usi seme eti mimi sina nyimbo za kusikiya wakati niko na wenzangu home. Dj topaz ana tupa mix tamu za video za Bongo.

Read More

Mr. Blue ft Ali Kiba – Mboga Baba – Bongo Flava new songs 2016 Official music Video

1 septembre 2016

Aki shirikiana na Ali Kiba, Mr blue ana tu letea video ya wimbo wake MBOGA BABA    

Read More

Pata video mpya ya msani Ray vanny wa label WASAFI

31 août 2016

Tena wasafi ana leta kitu kingine. Msani  Rayvanny  katu letea video ya wimbo wake : ‘Natafuta kiki’ [embedyt] http://www.youtube.com/watch?v=mOC3n5TlQH4[/embedyt]

Read More

Share
Share