Search in the website:

MUSIC

Enock Enock Bella Kurumbembe Official Audio

25 février 2018

Read more

Enock Bella | Kurumbembe | Official Audio

Written by on 25 février 2018

Usiseme mengi. Wewe sikia kitu, weka comenti yako na u share na wenzako. Sauti hiyo sio mchezo. Enock Bella ame amuwa kutowa wimbo mpya #Kurumbembe. Ma fans wake wata furahi kuona msaani wao kutoka Bongo ambaye ana fanya kazi vizuri sana , ana waletea zawadi ingine ambaye ina jaa na utamu wa sauti Base. [embedyt] […]

Read More
IMG 20171126 WA0030 Swahili media Ingoma z rsquo iwacu by B FACE feat NKUND rsquo ABANTU Download mp3

28 novembre 2017

Read more

Swahili media| Ingoma z’iwacu by B FACE feat.NKUND’ABANTU|Download mp3

Written by on 28 novembre 2017

RAPPER B FACE kutoka nchini Burundi ameachia wimbo wake mpya INGOMA Z’IWACU akiwashilikisha NKUND’ABANTU baada ya SIPENDI UJINGA.Wimbo huo ambao umeanza kuleta gumzo kila sehemu baada ya kuachiwa umetengenezwa na AMIR PRO KUTOKA IKOH MUSIC. Sikiliza na pakua wimbo huo hapa bila chenga zozote.Usisahau kushare na wengine kama kawaida yetu.

Read More
LGT OFFICIAL Swahili media Remember my name by LGT Download mp3

23 novembre 2017

Read more

Swahili media| Remember my name by LGT|Download mp3

Written by on 23 novembre 2017

Mwanamuziki kutoka Burundi mwenye makaazi yake Nchini Afrika kusini ameachia wimbo wake mwingine baada ya kujijengea taji kwa ngoma zake kama FAR AWAY, DONT LET ME GO akiwa na mwenzake YSK. Kwa sasa ameamua kuonyesha ukali wake kwa ngoma yake mpya ambayo amefanya pekee yake. Ngoma imepewa jina la REMEMBER MY NAME ikiwa imetengenezwa na […]

Read More
WhatsApp Image 2017 10 30 at 10 54 48 Swahilimedia Nzokudigadiga by Lolilo Download mp3

30 octobre 2017

Read more

Swahilimedia│ Nzokudigadiga by Lolilo│Download mp3

Written by on 30 octobre 2017

Kwa mara nyingine tena mwanamuziki nguli LIZZO ameachia kazi nyingine baada ya kujijengea headlines zingine kwenye video ya wimbo wake wa KABIRIRBIRI. Kuwa wa kwanza kusikiliza na kupakua hii NZOKUDIGADIGA. Usisahau kushare na wengine kama kawaida yetu.

Read More
22688039 1942970772637152 4298438258051180903 n Swahilimedia Happy Famba 8211 My Time Download mp3

23 octobre 2017

Read more

Swahilimedia │Happy Famba – My Time│Download mp3

Written by on 23 octobre 2017

HAPPTY FAMBA ameachia kibao chake kingine baada ya kujijengea headlines kubwa kwa kazi yake ya WHY ME? Sasa amerudi kwa kishindo kingine ambacho kimepewa jina la MY TIME. Kuwa mtu wa kwanza kukipakua na kukisikiliza bila shida yeyote. Usisahau kushare na wengine kama kawaida yetu.

Read More
22552885 406386023097867 8955757379881147528 n Swahilimedia Wangu by Natacha ft Shebbah download mp3

23 octobre 2017

Read more

Swahilimedia │Wangu by Natacha ft Shebbah │download mp3

Written by on 23 octobre 2017

NATACHA LA NAMBA baada ya kujijengea headlines kubwa sana kwa vibao vyake ambavyo vilimtambulisha zaidi ndani na nje ya nchi yake kuanzia UNANIONGOPEA,SHIKILIA,GERAGEZA.sasa ameamua kuchukuwa muda mwingine na kubadirisha mazingira tena kwa kujirusha KAMPALA kwa kazi moja ambayo amemshirikisha Msanii mwenzake wa kike anayetamba zaidi kwa kibao chake cha RWATAKO. Kukwa wa kwanza kujipatia kibao […]

Read More
22279714 400600817009721 1768932223316669920 n Swahilimedia Pamy Queen Sinarinzi Download mp3

8 octobre 2017

Read more

Swahilimedia │ Pamy Queen- Sinarinzi │Download mp3

Written by on 8 octobre 2017

Kuwa wakwanza kujipatia wimbo mpa wa kwake mwanamuziki wa kike anayejulikana kama PAMY QUEEN,mwanadada ambae kwa sasa anaonekana kuja kivingine kwenye industry nzima ya BUJA FLEVA. Usisahau kushare na wengine kama kawaida yetu. Ikiwa we ni msanii na unataka kazi zako zipitishwe hapa na kwenye vipindi vyetu tofauti,usishindwe kuwasiliana na sisi kwenda nambari +257 75497258 […]

Read More