BONYEZA HAPO CHINI TU !

Rwanda/Kizito Mihigo akutwa amefariki,maswali kadhaa yaulizwa kwenye mitandao ya kijamii.
Pale tu taarifa za kifo chake mwana mziki wa nyimbo za injili inchi rwanda zilipo tangazwa,maswali kadhaa yameanza kuliizwa na watumiaji wa mitandao ya kijamii,wakitaka kufahamu njia halisi ya kifo chake. Kizito Mihigo, msanii maarufu wa nyimbi za Injili nchini Rwanda alipatikana amefariki dunia Jumatatu Februari 17 katika chumba ambako alikuwa anazuiliwa kwa muda wa […]

BENI-DRC/Yapata raia kumi na tano ya uliwa na ADF.
yapata raia kumi na tano wame uliwa na wengine kumi kutekwa nyara katika shambulio linalo susiwa kuendeshwa na waasi wa Yuganda wa ADF usiku wa Jumatatu, Februari 17 katika maeneo ya Alungupa sekta ya Rwenzori, wilayani Beni. Duru za mali za hakikisha na kusema »Shumbulio limeanza karibia saa 4 usiku.waasi wa ADF walivamia kijiji na […]
Uvira-Drc/Muungano wa vyombo vya habari Uvira-Fizi na kamanyola,wa sherehekea siku kuu ya redio.
Muungano wa redio za uvira na Fizi na kamanyola SYMUF, mashariki mwa Drc kivu kusini, waendesha mjadala uliyo kutanisha wana habari wa uvira na fizi,wakuu viongozi wa ki jeshi,polisi,mashirika za ki raia pamaja na raia wa mji wa uvira.Mjadala waendeshwa katika hali ya kusherehekea siku kuu ulimwenguni ya redio inayo yerehekewa kila tarehe 13 february.Kiongozi […]

BENI-DRC/Watu waendelea kuyatoroka makazi yao.
Zaidi ya watu 100,000 tayari kutoka makazi yao kufuatia machafuko yanayo shuhudiwa wiyalani BENI mashariki mwa Drc.Shirika la UNHCR husika na kuhudumia wakimbizi lasema ya kuwa watu hao walitoroka katika kipindi cha miezi mbili iliyo pita. Msemaji wa UNHCR, Andrewj Mahecic alisema hayo katika mkutano na waandishi wa habari huko Geneva. Wanawake,wanaume pamoja na watoto […]

Drc-Kivu kaskazini/Wavuvi arobaini watekwa nyara na mai mai.
Mai-Mai walichukua mateka takriban wavuvi arobaini ambao wanafanya kazi eneo la Vitchumbi pa Rutshuru wakiendesha uvuvi katika ziwa Edward Jumatatu, Januari 27, 2020. Utekaji nyara wa wavuvi hao,ulipelekea uporaji wa mitumbwi kadhaa. Mashirika za kiraia kivu kaskazini,wanaiomba serekali ya drc kutowa huduma za usalama ili wavuvi walio kamatwa mateka wakombolewa mikononi mwa maimai. Mara kwa […]

Burundi/Wananchi wategemea mabadiliko makubwa baada ya uchaguzi.
Baada ya Jenerali Evariste Ndayishimiye kuteuliwa kuwa mgombea kwenye uchaguzi wa mei 2020 inchini Burundi akitokea chama tawala cha CNDD-FDD,wengi wana tegemea kwamba watayaona mabadiliko makubwa ikiwa atafaulu kuchaguliwa kuwa rais wa inchi hiyo. Hata hivyo wengi wanasema Burundi imepiga hatua kubwa baada ya rais anayaemaliza muhula wake hivi karibuni kutekeleza ahadi yake ya kutogombea […]

Read more
Somo « Akili » Sehemu Ya 8. Dr.Elie V.D Waminian
View moreSomo « Akili » Sehemu Ya 8. Dr.Elie V.D Waminian

Read more
Somo « Akili » Sehemu ya 7 Dr. Elie V.D. Waminian
View moreSomo « Akili » Sehemu ya 7 Dr. Elie V.D. Waminian

Read more
Harmonize – Jeshi (Official Music Video)
View moreHarmonize – Jeshi (Official Music Video)

Read more
Somo « Akili » Sehemu Ya 6. Dr.Elie V.D Waminian
View moreSomo « Akili » Sehemu Ya 6. Dr.Elie V.D Waminian

Read more
Somo « Akili » Sehemu Ya 5. Dr.Elie V.D Waminian
View moreSomo « Akili » Sehemu Ya 5. Dr.Elie V.D Waminian

Read more
Éducation financière : Comment investir en vous-même ? | Robert Kiyosaki | Voix FR
View moreÉducation financière : Comment investir en vous-même ? | Robert Kiyosaki | Voix FR

Read more
Somo « Akili » Sehemu Ya 4. Dr.Elie V.D Waminian
View moreSomo « Akili » Sehemu Ya 4. Dr.Elie V.D Waminian

Read more
Somo « Akili » Sehemu Ya 3. Dr.Elie V.D Waminian #3
View moreSomo « Akili » Sehemu Ya 3. Dr.Elie V.D Waminian #3

Read more
Somo « Akili » Sehemu Ya 2. Dr.Elie V.D Waminian
View moreSomo « Akili » Sehemu Ya 2. Dr.Elie V.D Waminian

Read more
Mwanga Wa Akili (Intelligence) Dr.Elie V.D Waminian.#38
View moreMwanga Wa Akili (Intelligence) Dr.Elie V.D Waminian.#38

Read more
Mwanga Wa Akili (Intelligence) Dr.Elie V.D Waminian. #39
View moreMwanga Wa Akili (Intelligence) Dr.Elie V.D Waminian. #39

Read more
Mwanga Wa Akili (Intelligence) Dr.Elie V.D Waminian.#40
View moreMwanga Wa Akili (Intelligence) Dr.Elie V.D Waminian.#40
SGLM TV
OFFICE YETU
Saa za kazi
Juma tatu- Ijuma:
Saa: 8:00-18:30 Hrs
(Phone mpaka 17:30 Hrs)
ANUANI YA OFICE
1st floor , Negatu building. 10 Robert sobukwe Road, Bellville 7530 wesetern cape
Phone:+27 73 262 9888
i love. swahili grands lacs medias.
Podcast: Play in new window | Download (Duration: 3:59 — 3.7MB)