Search in the website:

HABARI ZA ULIMWENGU / Page 4

Marekani|Hili ndiyo Jumba la kumbukumbu za Wamarekani weusi ambalo limefunguliwa rasmi US

25 septembre 2016

Rais wa Marekani Barrack Obama amefungua rasmi jumba la kumbukumbu za Wamarekani-weusi mjini Washington DC. Rais Obama amesema kuwa jumba hilo la utamaduni na historia ya Wamarekani weusi litatoa historia ya Marekani ambayo haijatambuliwa na wengi. Mtindo wa Jumba hilo ulichorwa na raia wa Uingereza David Adjaye,huku baadhi ya vitu vilivyopo katika jumba hilo vikionyesha […]

Read More

Common aachia video ya wimbo wa kupinga mauaji ya watu weusi Marekani

25 septembre 2016

Rapper kutoka mji wa Chicago nchini Marekani, COMMON ameachia video ya wimbo wake wa ‘Black America Again’ aliomshirikisha Stevie Wonder ambao unaopinga mauaji ya watu weusi yanayoendelea nchini humo. “Here we go again,” amerap Common kwenye wimbo huo akisema : “Trayvon will never grow to be an older man / Black children, they childhood stole from […]

Read More

P-Diddy atoa msaada wa $1m kwenye chuo kikuu cha Howard

25 septembre 2016

Hakika kutoa ni moyo na si utajiri. Rapper tajiri zaidi duniani kutoka Marekani, Sean John Combs maarufu kama P-Diddy ametoa msaada wa kiasi cha dola milioni 1 kwa ajili ya kusaidia Chuo Kikuu cha Howard. Diddy alitoa fedha hizo wiki hii wakati alipofanya onesho la ziara yake ya Bad Boy Family Reunion Tour kwenye mji […]

Read More

EQUATOR| Baba mtoto ni mwana mke na mama mtoto mwana ume

24 septembre 2016

Fernando Machado, mwanaume transsexual, ali beba mimba ya mke wake Diane Rodriguez ambaye naye ni transsexual. Wote wana ishi inchini Equator (Amerika ya kusini) . Fernando, ali zaliwa kama mwana mke na kama Diane mwana ume. Basi mbegu ya Diane ika hingiziwa tumboni mwa Fernado na mtoto aka zaliwa.     source: http://www.dailymail.co.uk/news/article-3804052/Transgender-man-gives-birth-baby-falling-pregnant-transgender-woman.html

Read More

Mchekeshaji Trevor Noah atangazwa kusherehesha kwenye tuzo za MTV MAMA

21 septembre 2016

Mchekeshaji wa Afrika Kusini anayefanyika kazi nchini Marekani, Trevor Noah, ametangazwa kuwa mshereheshaji wa tuzo za mwaka huu za MTV MAMA. Awali Idris Sultan, Basket Mouth (Nigeria), Idris Elba (Uingereza) na Kevin Hart (Marekani) walikuwa miongoni mwa washereheshaji wengine waliokuwa wanafikiriwa. Tuzo hizo zitafanyika October 22, 2016, kwenye ukumbi wa Ticket Pro Dome, Johannesburg, Afrika […]

Read More

Hatimaye: Rapper Kanye West ajiunga Instagram

21 septembre 2016

Kanye West amejiunga rasmi na Instagram. Rapper huyo mwenye miaka 39, alijiunga na kutumia Instagram kwa mara ya kwanza Jumapili (Sept 18). Hadi sasa ana followers zaidi ya 800k. Hajaandika chochote kwenye picha hiyo. Mnano March, West alizungumzia mpango wa kujiunga na mtandao huo kupitia Twitter: On another note… I was thinking about getting an […]

Read More

Marekani yaitupia lawama Urusi kwa shambulio la Syria

21 septembre 2016

Marekani imesema ndege za kivita za Urusi zilihusika kushambulia msafara wa misaada nchini Syria siku ya Jumatatu na kusababisha vifo. Maafisa wa Marekani wamesema kuwa  ndege mbili za kivita za Urusi aina ya SU-24, zilikuwa angani, sambamba na msafara huo wa magari, wakati tukio hilo likitokea. Hata hivyo Urusi imekana na kusema kuwa ndege hizo […]

Read More

Obama aomba mataifa tajiri ulimwenguni kusaidia wakimbizi

21 septembre 2016

Rais wa Marekani Barack Obama ameyaomba mataifa tajiri ulimwenguni kufanya kila linalowezekana kuwasaidia watu wanaokimbia vita. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano kuhusu wakimbizi katika Umoja wa Mataifa amekiri kuwa dunia inakabiliwa na changamoto nyingi huki chanzo kikubwa kikiwa ni vita. Amezitaka nchi tajiri kuchukulia tatizo hilo kama ni la kwao na kuongeza kuwa tatizo la sasa […]

Read More

Brad Pitt na Angelina Jolie Wame achana.

20 septembre 2016

Angelina jolie na Brad Pitt wame achana. Kupitia kenye website ya Peaple, mchezaji cinema Bradit Pitt wa miaka 52 ana sema eti kitu cha maana  kwa wakati huu ni usalama wa watoto wao  yeye na Angelina Jolie.  Tangia mwaka mzima  ma star hawa wali kuwa ha waishi pamoja lakini mbele ya sheria walikuwa  bado wana howana.  Kwa siku […]

Read More

Msani USHER mwimbaji wa style ya RNB amepewa nyota nyota ya Walk of Fame

8 septembre 2016

Usher ni mwimbaji wa mchini marekani. Album milioni 65 za nyimbo yake zime  wai ku nunuliwa. Leo mjini LOS ANGELES Usher ame pewa Nyota ya sanii maarufu ambayo wana chapisha chini ya barara..

Read More

Load more

Share
Share