Angelina jolie na Brad Pitt wame achana.

Kupitia kenye website ya Peaple, mchezaji cinema Bradit Pitt wa miaka 52 ana sema eti kitu cha maana  kwa wakati huu ni usalama wa watoto wao  yeye na Angelina Jolie.  Tangia mwaka mzima  ma star hawa wali kuwa ha waishi pamoja lakini mbele ya sheria walikuwa  bado wana howana.  Kwa siku ya leo Angelina Jolie ana omba achunge watoto wao 6 na Brad Pitt aruhusiwe kuja ku angalia mara kwa mara watoto wakati wote .

 

 

Favicon Brad Pitt na Angelina Jolie Wame achana