Mai-Mai walichukua mateka takriban wavuvi arobaini ambao wanafanya kazi eneo la Vitchumbi pa Rutshuru wakiendesha uvuvi katika ziwa Edward Jumatatu, Januari 27, 2020.

Utekaji nyara wa wavuvi hao,ulipelekea uporaji wa mitumbwi kadhaa.

Mashirika za kiraia kivu kaskazini,wanaiomba serekali ya drc kutowa huduma za usalama ili wavuvi walio kamatwa mateka wakombolewa mikononi mwa maimai.
WAVUVI Drc Kivu kaskazini Wavuvi arobaini watekwa nyara na mai mai
Mara kwa mara, wavuvi wa kutumia mitumbwi wakabiliwa na ubakaji na kukamatwa kwenye Ziwa Edward.Lakini pia, askari jeshi wa Uganda,mara nyingi huwafunga wavuvi wa drc wakidai kwamba wavuvi hao wame vuka mipaka.

Favicon Drc Kivu kaskazini Wavuvi arobaini watekwa nyara na mai mai