Jenerali Evariste Ndayishimiye ametangazwa kuwa mgombea wa urais katika uchaguzi mkuu ujao inchini Burundi.Huyu ata wakilisha chama tawala cha CNDD-FDD katika uchaguzi ujao.

Rais wa sasa Peter Nkurunziza ,alitangaza ya kuwa kamwe hata wania tena ugachugi utakao fanyika mwezi mei 2020.

Kutangazwa kwake Jenerali Evariste Ndayishimiye kumefanyika leo juma pili katika kikao kilicho endeshwa katika inchi ya Burundi pa Bujumbura.Peter Ngurunzinza ame huzuria pia kakita kikao hicho.

Evariste EVARISTE Burundi Mgombea wa urais wa chama tawala nchini Burundi atambulikaNdayishimiye ana umri wa miaka 52 akiwa mtu wa karibu wa rais peter Nkurunziza .Katika kipindi hiki,anaongoza kitengo cha usalama wa kijeshi katika ofisi ya rais.
Ikumbukwe ya kuwa,rais wa Burundi peter Ngurunziza yuko madarakani toka mwaka wa 2005.

Favicon Burundi Mgombea wa urais wa chama tawala nchini Burundi atambulika