Baada ya Jenerali Evariste Ndayishimiye kuteuliwa kuwa mgombea kwenye uchaguzi wa mei 2020 inchini Burundi akitokea chama tawala cha CNDD-FDD,wengi wana tegemea kwamba watayaona mabadiliko makubwa ikiwa atafaulu kuchaguliwa kuwa rais wa inchi hiyo.Burundi Burundi Wananchi wategemea mabadiliko makubwa baada ya uchaguzi

Ok Burundi Wananchi wategemea mabadiliko makubwa baada ya uchaguzi

Hata hivyo wengi wanasema Burundi imepiga hatua kubwa baada ya rais anayaemaliza muhula wake hivi karibuni kutekeleza ahadi yake ya kutogombea katika uchaguzi huo.Taarifa zinazo kamilishwa kwenye ukurasa wa facebook wa rfi kiswahili.

Favicon Burundi Wananchi wategemea mabadiliko makubwa baada ya uchaguzi