Search in the website:

Author: Lavista / Page 27

Tanzania I Download New Audio MPITA NJIA BY BUSHOKE

Written by on 6 septembre 2016

Kwa muda mrefu bila kuonekana kwenye anga la muziki wa BONGO FLEVA  Mwanamuziki BUSHOKE ambae alitambulika sana kwa kazi nyingi,sasa amerudi kivingine kwa kazi yake mpya. Sikiliza na ujipakulie bila mikwaruzo yoyote.Usisahau kuwashirikisha wenzako kwa mengi zaidi.

Read More

Burundi I Msamalia Danielo aonekana kivingine

Written by on 6 septembre 2016

  Mwanamuziki wa kizazi kipya anayetambulika kwa jina la MSAMALIA DANIELO kutoka label ya WAKAVU CL ameonekana kivingine baada ya kuachia wimbo wake mpya unaobeba jina la UMAARUFU WANGU. Wimbo huo umemjengea jina zaidi na kujiongezea mashabiki huko mashairi yaliyomo ndani kwenye wimbo huo yakiwakonga nyoyo watu wengi hasa wapenzi wa Mwanamuziki huyo. Inasemeka kijana […]

Read More

New video I I love you by Sat B feat. Urban boys & Aimé bluestone

Written by on 6 septembre 2016

Mwanamuziki anayetambulika kwa jina la SAT-B au SATURA MABAFLA kutoka nchini Burundi ameachia video ya wimbo wake unaobeba jina la I LOVE YOU ambao amewashirikisha Wanamuziki kutoka Nchini RWANDA ambao wanaunda kundi maarufu sana chini humo URBAN BOYS na kumpa shavu mwenzao AIME BLUESTONE.   Video hiyo ambayo iko chini ya usimamizi na udhamini wa […]

Read More

Rwanda I 3Hills Feat kidumu waachia video ya VIMBA VIMBA

Written by on 6 septembre 2016

  Wanamuziki kutoka Nchini Rwanda wanaoliunda kundi zima la 3HILLS wameachia rasmi video ya wimbo wao ambao wamemshirikisha mzee kongwe kwenye muziki raia wa Burundi mwenye makazi yake Nchini Kenya anayejulikana kwa jina la JEAN PIERRE KIDUM au KIBIDO. Unaweza ukajionea video hio hapa chini bila chenga zozote’usisahau kuwashirikisha wenzako kwa mengi zaidi una na […]

Read More

Share
Share