Search in the website:

BUZZ WEB

Usi amini mtu anaye kusemesha haujuwe kama ni mwizi

25 septembre 2016

Fanyeni angalisho mara tuna starehe kwenye parc na mtu fulani ambaye hamtujuwe ana jileta na kutuomba msaada. Tuna msaidia lakini akienda zake mtu huyu  ana tu hiba hela, simu, saa  au vitu vingine.

Read More

SUBUTU NA WEWE. UNA JIDAI KUWA NA NGUVU KWANI WEWE BADO KIJANA.

23 septembre 2016

Hona mama uyu anaye piga Gim. kwa kweli mimi na bidi kunywa vi kombe vi wili vya mariwa mbele ya kujaribu ku nyanyuwa ka chuma ndogo hapo.

Read More

Mmbwa ana kula raha.

17 septembre 2016

Usiseme eti mbwa ina kosa akili.

Read More

Pata kujua Wana HIP HOP wa kimataifa na majina yao harisi

6 septembre 2016

Hii ndio orodha ya Wana HIP HOP wa Kimataifa na majina yao Harisi. Jay-Z : Shawn Corey Carter Drake : Aubrey Drake Graham Kendrick Lamar : Kendrick Lamar Duckworth Nicki Minaj : Onika Tanya Maraj 50 Cent : Curtis James Jackson Iggy Azalea : Amethyst Amelia Kelly Snoop Dogg : Calvin Cordozar Broadus Jr Missy […]

Read More

Mgombea Miss Congo2016 kwenye tv ana sema : wa zungu wana akili zaidi ya watu weusi

6 septembre 2016

Mgombea Miss congo wa mwaka huhu wa 2016 ambaye ali acha aibu wakati alipo kuwa kwenye tv inchini RD congo.  Wa sikilizaji ambao walikuwa ndani ya studio ya Tv wali mzomea sana ata kwenye socials medias video hiyo ili fanya buzz.  

Read More

Donald Trup akiwa ndani ya kabisa ya watu weusi ana cheza.

4 septembre 2016

Mgombea u Rais wa marekani,Trump ali jihelekeza kwenye kabisa la watu weusi hapo Detroit. Ndani ya kanisa Donald J Trump ali wa akikisha kwamba ata geuza mambo.Ata fanya kila kiwezekanavyo ili watu wa some kwenye shule nzuri na wa pate kazi. Mambo ya ukabila itupiliwe mbali. kwani upendo wa Mungu uko ndani ya kila mtu. […]

Read More

Mark Zuckerberg mkuu wa facebook kijana anaye heshimia mila na desturi za watu

2 septembre 2016

Source img: facebook(Mark Zuckerberg) Akiwa nchini kenya mkuu wa Facebook:Mark Zuckerberg ana gonga ugali sa samaki ngege. Dhaaa, ni hite nami nita kula.

Read More

Kama una taka burudika basi cheza nao

30 août 2016

Nani ali sema kama watu warefu hawa juwi ku cheza? Video hihi ime isha pita view 1million kwenye facebook.

Read More

Wimbo maarufu una chezwa na watu wengi kwenye facebook

28 août 2016

    Watu wengi wana piga mchezo waho kwenye ngoma kali hihi kwenye facebook.     [embedyt] http://www.youtube.com/watch?v=MCsm7_XaNYc[/embedyt]

Read More

Transport ecolo. Mambo yaku haribu mazingira na petroli hamna.

26 août 2016

  Tu vushe gari hihi kwenye lile kando .

Read More

Load more

Share
Share