Search in the website:

Author: Lavista / Page 26

Maandamano ya upinzani DRC yasababisha vifo vya watu zaidi ya 50

Written by on 20 septembre 2016

Muungano mkuu wa upinzani nchini Jamhuri ya Demokrasia ya Congo unasema kuwa zaidi ya watu 50 waliuawa wakati wa mandamano ya kumpinga rais Joseph Kabila siku ya Jumatatu mjini Kinshasa. Mmoja wa walioshuhudia anasema polisi waliwafyatulia risasi waandamanaji. Upinzani umevilaumu vikosi vya usalama kwa kutumia risasi dhidi ya maandamano yanayotaka kutangwazwe tarehe ya uchaguzi wa […]

Read More

Burundi I mwanamuziki CHINO-B aikonga BUJA FLEVA

Written by on 17 septembre 2016

Mwanamuziki wa kizazi kipya anayetambulika kwa jina la CHINO B sasa awa gumzo buja nzima baada ya kuachia kazi yake ambayo ni gumzo kwa sasa mji mzima. Baada ya Mkali huyo wa LOVER STORY,sasa aamua kuanika mashairi yake wazi huku akiwaacha wapenzi wa kazi zake  wakijiuliza wapi anapata mashairi mazit kama hayo. haina mengi zaidi […]

Read More

Burundi l DJ NC aonyesha ujasiri wake

Written by on 15 septembre 2016

DJ NC ambae anazungumuziwa kwa sana nchini Burundi sasa ameamua kudhihirisha uwezo wake zaidi. DJ huyo ambae  ameonekana kufanya vizuri na kupiga hatua kubwa huu mwaka tokea aanze kazi zake,hapo ni baada ya kuwakilisha kazi zake sehemu mbalimbali huku akiacha picha isiyofutika vichwani mwa wapenzi wa Buja fleva. Hii nyingine sasa nayo kali. Jamaa baada […]

Read More

Burundi l Pata kumfahamu chipukizi bora wa Buja fleva

Written by on 11 septembre 2016

Mwanamuziki ambae bado ni mchanga sana kwenye muziki wa Burundi anayejulikana kwa jina laCHINO-B ambae yuko hini ya usimamizi wa MASTER-MUZIK ameachia wimbo wake mpya ambao unabeba jina la LOVE STORY ukiwa ni wimbo ambao umeja ujumbe mzuri wa mapenzi ukiufuata kiundani zaidi. wimbo huo ambao uko unamjengea jina siku baada ya siku umetengenezewa chini […]

Read More

Burundi l Magic Soja (KINGORONGORO) ajipatia taji.

Written by on 11 septembre 2016

Mwanamuziki wa kizazi kipya mwenye mtindo wa RAP anayetambulika sana nchini Burundi kwa jina la MAGIC SOJA au KINGORONGORO baada yakuachia wimbo wake unaotambulika kwa jina la ILE ILE WIMBO ambao umemjingia jina na kuupanua muziki waki ndani na nje ya nchi pia,kwa sasa ameonekana kuwakonga nyayo wapenzi na mashabiki wa muziki wake hapo ni […]

Read More

Burundi I Ujio wa SUPER BOY wachemsha wengi BUJA FLEVA

Written by on 8 septembre 2016

Kijana anayetambulika kwa jina la SUPER BOY toka LABEL ya WAKAVU CL ameonekana kuchemsha watu wengi kwenye muziki wa BUJA FLEVA baada ya kuachia wimbo wake wa kwanza unaobeba jina la IGIHEMU. Kijana huyo mweye umri mdogo lakini ukimtazama ni tofauti sana na kazi anayoifanya kwenye muziki wake zaidi akionekana kuwa mwandishi mzuri kutokana na […]

Read More

Share
Share