Bienvenu kouassi 22 août 2024
Ni kweli wana wake weusi wange acha nywele za kizungu kichwani na washikamane na nywele za afro.
Bienvenu kouassi 22 août 2024
Ni kweli wana wake weusi wange acha nywele za kizungu kichwani na washikamane na nywele za afro.
SGLM 18 août 2024
Ametowa ngoma kali mpia, kijana ana pambana sana. Big up Harmonize.
SGLM 5 octobre 2023
Kiongozi wa upinzani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Moïse Katumbi amewasilisha ombi lake la kugombea katika uchaguzi wa rais wa mwezi Disemba ambapo Rais Félix Tshisekedi atawania kuchaguliwa tena kwa muhula wa pili, chama chake kilitangaza Jumatano.
SGLM 18 mars 2021
Tanzania na Afrika Mzima ina lia kwa kupoteza shujaa Rais Dkt Pombe. Magufuli ambaye ameaga dunia jijini Dar es salam.
Albert NZOBE 19 février 2020
Pale tu taarifa za kifo chake mwana mziki wa nyimbo za injili inchi rwanda zilipo tangazwa,maswali kadhaa yameanza kuliizwa na watumiaji wa mitandao ya kijamii,wakitaka kufahamu njia halisi ya kifo chake. Kizito Mihigo, msanii maarufu wa nyimbi za Injili nchini Rwanda alipatikana amefariki dunia Jumatatu Februari 17 katika chumba ambako alikuwa anazuiliwa kwa muda wa […]
Albert NZOBE 18 février 2020
yapata raia kumi na tano wame uliwa na wengine kumi kutekwa nyara katika shambulio linalo susiwa kuendeshwa na waasi wa Yuganda wa ADF usiku wa Jumatatu, Februari 17 katika maeneo ya Alungupa sekta ya Rwenzori, wilayani Beni. Duru za mali za hakikisha na kusema »Shumbulio limeanza karibia saa 4 usiku.waasi wa ADF walivamia kijiji na ku […]
Albert NZOBE 14 février 2020
Muungano wa redio za uvira na Fizi na kamanyola SYMUF, mashariki mwa Drc kivu kusini, waendesha mjadala uliyo kutanisha wana habari wa uvira na fizi,wakuu viongozi wa ki jeshi,polisi,mashirika za ki raia pamaja na raia wa mji wa uvira.Mjadala waendeshwa katika hali ya kusherehekea siku kuu ulimwenguni ya redio inayo yerehekewa kila tarehe 13 february.Kiongozi […]
Albert NZOBE 13 février 2020
Zaidi ya watu 100,000 tayari kutoka makazi yao kufuatia machafuko yanayo shuhudiwa wiyalani BENI mashariki mwa Drc.Shirika la UNHCR husika na kuhudumia wakimbizi lasema ya kuwa watu hao walitoroka katika kipindi cha miezi mbili iliyo pita. Msemaji wa UNHCR, Andrewj Mahecic alisema hayo katika mkutano na waandishi wa habari huko Geneva. Wanawake,wanaume pamoja na watoto […]