Search in the website:

Author: Lavista / Page 22

SISOMEKI by B Face feat Double Jay official video I mp4

Written by on 28 septembre 2016

Tayari rapper anayetambulika kwa jina la B FACE a.k.a N THE FLO’ kama anavyojiita ameachia video mpya ya wimbo wake ambao unabeba jina la SISOMEKI huku akiwa amemshirikisha mwanamuziki anayefanya vizuri kwenye game la BUJA FLEVA DOUBLE JAY toka pande za GITEGA. Video hiyo ambayo baada ya kutoka imeashaanza kuonyesha ubora wake huku watazamaji wakiachia […]

Read More

FIFA:Uamuzi wa kupambana na ubaguzi wa rangi ni sahihi

Written by on 27 septembre 2016

FIFA imetetea uamuzi wake wa jitihada za kupambana na ubaguzi wa rangi ,na ukosoaji unaotaka wa kukwamisha jitihada hizo ni wakutia aibu. Kikosi cha FIFA cha kupambana na ubaguzi wa rangi na udhalilishaji kiliundwa mwaka 2013 kutengeneza mikakati ya kutatua tatizo hilo. Katibu Mkuu wa Fifa Fatma Samba Diof Samoura alisema kuwa timu hiyo ilikuwa […]

Read More

Kundi ya wapiganaji la Al-Shabab latoa video ya mwanajeshi wa Uganda

Written by on 27 septembre 2016

Kundi la wapiganaji wa al-shabab limetoa kanda ya video inayoonyesha kile inachosema ni mwanajeshi wa Uganda aliyekamatwa mwaka mmoja uliopita nchini Somalia. Katika video hiyo ya dakika sita ,mtu mmoja aliyevaa magwanda ya jeshi la Uganda anamtaka rais wa Uganda kumsaidia kuachiliwa huru. Anasema alikamatwa katika uvamizi wa kundi la al-Shabab katika kambi ya majeshi […]

Read More

Dawa ya watoto ya kifua kikuu yazinduliwa Nchini Kenya

Written by on 27 septembre 2016

Dawa ya kwanza duniani ya kutibu ugonjwa wa kifua kikuu miongoni mwa watoto inatarajiwa kuzinduliwa leo siku ya Jumanne mjini Nairobi. Hadi kufikia sasa,watoto hutumia dawa zinazotumiwa na watu wazima ambazo hugawanywa kusagwa na kutiwa katika maji. Daktari Cherise Scott,mkurugenzi wa maswala ya magonjwa ya watoto katika muungano wa utengezaji wa dawa za TB ,anasema […]

Read More

Malumbano kati ya Trump na Clinton kwenye mdahalo Marekani

Written by on 27 septembre 2016

Wagombea urais nchini Marekani Hillary Clinton na Donald Trump wamepambana vikali katika mdahalo wa kwanza wa televisheni ambapo wamepingana katika masuala mbali mbali ikiwemo masuala ya sera, kodi, ajira na uchumi. Kadhalika wamejibizana kuhusu Vita vya Iraq na juhudi za kukabiliana na kundi linalojiita Islamic State. Msimamizi wa mdahalo huo Lester Holt amemwuliza mgombea wa […]

Read More

Uchaguzi nchini Somalia waanza rasmi huku Al Shabab ikitishia kuusambaratisha

Written by on 27 septembre 2016

Somalia imeanza zoezi la kuwateua wabunge 275, zoezi ambalo linatarajiwa kumalizika tarehe 10 mwezi Oktoba. Wagombea mbalimbali wamekuwa wakionekana mjini Mogadishu, Baidoa na Kismayu wakishiriki kwenye kampeni kuomba uungwaji  mkono ili kupata nafasi ya kuingia bungeni. Uteuzi wa wabunge hao wapya unafanywa na wajumbe 51 ambao ni viongozi wa dini, watu wenye ushawishi katika jamii […]

Read More

Darubini kubwa duniani yaanzishwa na CHINA

Written by on 26 septembre 2016

China imeanzisha Jumapili hii darubini kubwa duniani katika mkoa wa Guizhou, kusini magharibi mwa nchi hiyo. Kikiwa na mduara wa mita 500, chombo hiki cha uangalizi kitaweza kunasa ihara mbalimbali katika pembe zilizo mbali sana ulimwenguni. Beijing ina matumaini kuwa ina uwezo wa kupata dalili za maisha yaliyo mbali na satari ya dunia. Darubini hii […]

Read More

Riek Machar atangaza vita dhidi ya serikali ya Juba

Written by on 26 septembre 2016

Kiongozi wa waasi na aliyekuwa Makamu wa rais nchini Sudan Kusini Riek Machar ametangaza vita vipya dhidi ya serikali ya Juba akiwa nje ya nchi. Machar ambaye yupo jijini Khartoum katika nchi jirani ya Sudan, amesema lengo lake la kutangaza vita ni kutaka kurejea kwa amani, uhuru, demokrasia na utii wa sheria katika nchi yake. […]

Read More

Share
Share