Pata audio kutoka kwa msani Rayvanny from wasafi. usikose ku share na wezanko
Usiseme mengi. Wewe sikia kitu, weka comenti yako na u share na wenzako. Sauti hiyo sio mchezo. Enock Bella ame amuwa kutowa wimbo mpya #Kurumbembe. Ma fans wake wata furahi kuona msaani wao kutoka Bongo ambaye ana fanya kazi vizuri sana , ana waletea zawadi ingine ambaye ina jaa na utamu wa sauti Base. [embedyt] […]
RAPPER B FACE kutoka nchini Burundi ameachia wimbo wake mpya INGOMA Z’IWACU akiwashilikisha NKUND’ABANTU baada ya SIPENDI UJINGA.Wimbo huo ambao umeanza kuleta gumzo kila sehemu baada ya kuachiwa umetengenezwa na AMIR PRO KUTOKA IKOH MUSIC. Sikiliza na pakua wimbo huo hapa bila chenga zozote.Usisahau kushare na wengine kama kawaida yetu.
Mwanamuziki kutoka Burundi mwenye makaazi yake Nchini Afrika kusini ameachia wimbo wake mwingine baada ya kujijengea taji kwa ngoma zake kama FAR AWAY, DONT LET ME GO akiwa na mwenzake YSK. Kwa sasa ameamua kuonyesha ukali wake kwa ngoma yake mpya ambayo amefanya pekee yake. Ngoma imepewa jina la REMEMBER MY NAME ikiwa imetengenezwa na […]