Mwanamuziki wa kizazi kipya mwenye mtindo wa RAP anayetambulika sana nchini Burundi kwa jina la MAGIC SOJA au KINGORONGORO baada yakuachia wimbo wake unaotambulika kwa jina la ILE ILE WIMBO ambao umemjingia jina na kuupanua muziki waki ndani na nje ya nchi pia,kwa sasa ameonekana kuwakonga nyayo wapenzi na mashabiki wa muziki wake hapo ni baada ya kuachia video ya WIMBO huo.

Kivyangu sina mengi ya kuongea,ila naamini macho yako ndo shahidi tosha,ebu jitazamie vieo hio hapa chini kisha utaniambia mwenyewe ulichokiona.

nikukumbushe kuwa video imetemgenezwa chini ya Production za GRAND PICTURES la Director LANDRY SB.

Favicon Burundi l Magic Soja KINGORONGORO ajipatia taji