Mwanamuziki wa kizazi kipya anayetambulika kwa jina la CHINO B sasa awa gumzo buja nzima baada ya kuachia kazi yake ambayo ni gumzo kwa sasa mji mzima.

Baada ya Mkali huyo wa LOVER STORY,sasa aamua kuanika mashairi yake wazi huku akiwaacha wapenzi wa kazi zake  wakijiuliza wapi anapata mashairi mazit kama hayo.

haina mengi zaidi najua na wewe lazima utajiuliza swali kama hil,kwa hiy usisumbuke pakua kila kitu hapa hapa bila chenga zozote.

Favicon Burundi I mwanamuziki CHINO B aikonga BUJA FLEVA