Mwanamuziki wa kizazi kipya anayetambulika kwa jina la MSAMALIA DANIELO kutoka label ya WAKAVU CL ameonekana kivingine baada ya kuachia wimbo wake mpya unaobeba jina la UMAARUFU WANGU. Wimbo huo umemjengea jina zaidi na kujiongezea mashabiki huko mashairi yaliyomo ndani kwenye wimbo huo yakiwakonga nyoyo watu wengi hasa wapenzi wa Mwanamuziki huyo.

Inasemeka kijana huyo ambayo yuko kwenye orodha ya Wanamuziki wanaofanya vizuri Nchini Burundi anazidi kusonga kwa kasi hasa ukifuatilia ubora wa kazi zake na uimbaji wako kwa pamoja.

sikiliza wimbo huo hapa chini.usikose kuwashirikisha wenzako kwa habari zaidi.

Favicon Burundi I Msamalia Danielo aonekana kivingine