Muigizaji na Mwanamuziki pia anayetambulika kwa jina la HEMED SULEIMAN ama PHD,amewasili jana masaa ya jioni kwenye uwanja wa Ndege wa Bujumbura huku maerfu ya watu wakimpokea kwa shangwe na furaha tele.

Muigizaji huyo amekuja kwenye ziara ya kuburudisha warundi kwenye tamasha litakalofanyika tarehe 4/Disemba/2016 pande za La coast Beach.

Nikukumbushe kuwa star huyo atasindikizwa na wasanii kutoka nchini Burundi kama LOLILO,Masterland na wengineo.

Washirikishe wenzako habari hii.

Favicon Ujio wa HEMED Suleiman wapagawisha wengi Bujumbura