Search in the website:

SWAHILIMEDIAS

Aslay X Bahati – Bora Nife (Official video)

17 avril 2018

Jamani swahimedias.com ina waletea video ya Aslay na Bahati. Musi kose ku share na ku komenti. Plz.

Read More

Swahilimedia │Masterland atangaza wimbo wake wa ALIMA kuwa hit song│Today update

4 octobre 2017

moja kati ya habari zinazotrend kwenye mitandao ya kijamii hizi siku ni hii ya mwanamuziki kutoka Nchini Burundi anayetambulika kwa jina la MASTERLAND kutangaza kuwa wimbo wake wa ALIMA wimbo ambao umetoka na video yake kuwa HIT SONG. Harakati hizo zimeibuka wakati wa show iliyofanyika mkoani GITEGA show ambayo ilikuwa imeandaliwa na msanii kutoka mkoani […]

Read More

Flavour – Nnekata [Official Video]

29 septembre 2017

      Usikose ku share

Read More

swahilimedias│masterland-awaondoa-mashaka-mashabiki-wake

26 septembre 2017

Baada ya ahadi nyingi zisizotimia,ila kwa sasa siyo maneno na misemo pia. Mwanamuziki anayetamba kwa style ya KIZOMBA MASTERLAND,baada yakuweka ahadi nyingi bila kutekeleza sasa amejikwamua na kuiachia video ambayo ilikuwa imewapa mashaka mashabiki wa muziki wake na wale ambao hufuatilia karibu muziki mzima wa buja fleva. Nikukumbushe kuwa maneno yote yalianza baada ya kufanya […]

Read More

Swahilimedias │IYAMIRIZE by Natacha │Official Video

22 septembre 2017

Mwanamuziki NATACHA LA NAMBA ameachia video ya wimbo wake mpya ambao umeimbwa kwa malengo na dhumuni ya kupiga vita mabaya yote yanayofanyiwa wanawake.Wimbo ambao ulipewa jina la IYAMIRIZE. Kuwa mtu wa kwanza kutazama video hiyo hapa bila kuchelewa. Usisahau kushare na wengine kama kawaida yetu.

Read More

Tofy Gas adai kuvunja ukimya wake.

19 septembre 2017

Bada ya muda mrefu kidogo akiwa kwenye ukimya ambao ulizua maneno na viulizo vingi kwa mashabiki na wapenzi wa muziki wake Msanii wa muziki wa kizazi kipya anayetambulika kama TOFY GAS,sasa ameamua kuvunja ukimya na kufunguka zaidi . Akiongea na wandishi wa habari amesema kuwa anatarajia kuachia wimbo wake mwingine baada ya STAY STRONG,NA KWANINI […]

Read More

M Lee- East african girl l download mp3

4 septembre 2017

Burundian artist known as M LEE drops his new audio titled EAST AFRICAN GIRL produced by CAPTAIN BLUE in CAPTAIN SOUND RECORDS. Be the first to download and listen to it and keep sharing with others.

Read More

Masterland atangaza ujio wake mwingine

3 septembre 2017

Baada yakujijengea headlines kubwa zaidi kwa wimbo wake wa NTUNDEKURE,Masterland ametangaza tena ujio wake mwingine. kupitia ukurasa wake wa instagram amesema kwamba anatarajia kuachia wimbo wake mpya ambao ametaja kuwa utatoka na video kama kawaida yake. ametaja rasmi kuwa wimbo huo utazinduliwa rasmina video yake TAREHE 09/09/2017 pande za ONE PEOPLE GASENYI. amemaliza akiwaomba mashabiki […]

Read More

Gaga Blue amtolea povu Zacky Classic

3 septembre 2017

Baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa BUJUMBURA RAPPER GAGA BLUE anayetamba kwa kibao cha IVO IVO alichomshirikisha Rapper kutoka TANZANIA YOUNG D amefunguka na kusema ukweli uliokuwa umejificha nyuma ya kibao hicho ukiambatanisha na meneno ya watu fulani. sikiliza alichokizungumza kuhusu wanaodai kuwa kacopy ngoma hiyo na majibu kwa ZACKY Classic […]

Read More

Load more

Share
Share