Search in the website:

NATACHA

New VIDEO: A Flow Slim – La Number

13 janvier 2018

New VIDEO: A Flow Slim – La Number Hii hapa mpya toka kwa msanii A Flow Slim wimbo unaitwa La Number ni wimbo ambao ulikuwa akimuimbia msanii mwenzie wakike ajulikanae kwa jina la Natacha La Number TAZAMA NA SHARE PIA.

Read More

Swahilimedia │Wimbo wa Wangu by Natacha feat.Shebbah watarajiwa kuimbwa Coke Studio Africa

26 octobre 2017

Baada ya kuwa wimbo wa WANGU wa kwake NATACHA akimshirikisha SHEBBAH wa UGANDA kuachiwa nje na kupokelewa kwa shangwe kubwa na sapoti nyingi sana. Sasa wimbo huo unatarajiwa kuimba COKE STUDIO AFRICA na SHEBBAH. Kwa mjibu wa Mwanahabari wa NATACHA ,DJ RAPHAN amesema kwamba tayari washaweka makubaliano na SHEBBAH kuwa wimbo huo utaibwa kwenye show […]

Read More

Swahilimedias │IYAMIRIZE by Natacha │Official Video

22 septembre 2017

Mwanamuziki NATACHA LA NAMBA ameachia video ya wimbo wake mpya ambao umeimbwa kwa malengo na dhumuni ya kupiga vita mabaya yote yanayofanyiwa wanawake.Wimbo ambao ulipewa jina la IYAMIRIZE. Kuwa mtu wa kwanza kutazama video hiyo hapa bila kuchelewa. Usisahau kushare na wengine kama kawaida yetu.

Read More

News│Mapokezi ya SAUTI SOL nchini Burundi

21 septembre 2017

Kwa shangwe na ndelemo ambazo zimewapokea wasanii maarufu ambao wanaunda kundi nzima la SAUTI SOLO zimewafanya kujisikia wamefika kwenye ulimwengu mwingine ambao ni mpya na wenye ufahari wake. Walipowasili leo mchana wa tarehe 21 Septemba 2017 MAjira ya saa nane wamepokelewa na ndelemo za wapiga ngoma kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Bujumbura kama […]

Read More

Share
Share