Search in the website:

MASTERLAND

Swahilimedia │Masterland atangaza wimbo wake wa ALIMA kuwa hit song│Today update

4 octobre 2017

moja kati ya habari zinazotrend kwenye mitandao ya kijamii hizi siku ni hii ya mwanamuziki kutoka Nchini Burundi anayetambulika kwa jina la MASTERLAND kutangaza kuwa wimbo wake wa ALIMA wimbo ambao umetoka na video yake kuwa HIT SONG. Harakati hizo zimeibuka wakati wa show iliyofanyika mkoani GITEGA show ambayo ilikuwa imeandaliwa na msanii kutoka mkoani […]

Read More

swahilimedias│masterland-awaondoa-mashaka-mashabiki-wake

26 septembre 2017

Baada ya ahadi nyingi zisizotimia,ila kwa sasa siyo maneno na misemo pia. Mwanamuziki anayetamba kwa style ya KIZOMBA MASTERLAND,baada yakuweka ahadi nyingi bila kutekeleza sasa amejikwamua na kuiachia video ambayo ilikuwa imewapa mashaka mashabiki wa muziki wake na wale ambao hufuatilia karibu muziki mzima wa buja fleva. Nikukumbushe kuwa maneno yote yalianza baada ya kufanya […]

Read More

Masterland atangaza ujio wake mwingine

3 septembre 2017

Baada yakujijengea headlines kubwa zaidi kwa wimbo wake wa NTUNDEKURE,Masterland ametangaza tena ujio wake mwingine. kupitia ukurasa wake wa instagram amesema kwamba anatarajia kuachia wimbo wake mpya ambao ametaja kuwa utatoka na video kama kawaida yake. ametaja rasmi kuwa wimbo huo utazinduliwa rasmina video yake TAREHE 09/09/2017 pande za ONE PEOPLE GASENYI. amemaliza akiwaomba mashabiki […]

Read More

My Gatima by Kirikou feat. Masterland | download mp3

6 juillet 2017

Kuna vitu vingine kuamini kwenye maisha inakuwaa ngumu sana lakini wakati mwingine unakuwa huna budi kuamini unapoaminishwa. sasa hii ni moja ambayo inakufanya uelewe kuwa ukweli unakuwa wazi mara nyingi kutokana na kile ambacho kinakupa radha unazozitaka. usiumize kichwa sana kutaka kujua nini kimetokea,kuwa mtu wa kwanza kusikiliza ngoma mpya ya kwake mwanamuziki mchanga sana […]

Read More

Masterland auvisha muziki wa Buja fleva taji mpya.

8 janvier 2017

Mwanamuziki kutoka nchini Burundi anayetambulika kwa jina la Masterland ameuvisha taji mpya muziki wa Buja fleva masaa machache tu baada ya kuachia wimbo wake mpya ambao umeambatana na video kwa pamoja. Baada ya kuwa amewaahidi mashabiki na wanaofuatilia sana muziki wa nyumbani kwa kipindi cha mwezi mmoja kuwa ataachia wimbo huo,tayari sasa amaeikamilisha ahadi yake. Video […]

Read More

Share
Share