Swahilimedias IYAMIRIZE by Natacha Official Video
Mwanamuziki NATACHA LA NAMBA ameachia video ya wimbo wake mpya ambao umeimbwa kwa malengo na dhumuni ya kupiga vita mabaya yote yanayofanyiwa wanawake.Wimbo ambao ulipewa jina la IYAMIRIZE.

Kuwa mtu wa kwanza kutazama video hiyo hapa bila kuchelewa.
Usisahau kushare na wengine kama kawaida yetu.

Favicon Swahilimedias IYAMIRIZE by Natacha Official Video