Swahilimedias masterland awaondoa mashaka mashabiki wake
Baada ya ahadi nyingi zisizotimia,ila kwa sasa siyo maneno na misemo pia.

Mwanamuziki anayetamba kwa style ya KIZOMBA MASTERLAND,baada yakuweka ahadi nyingi bila kutekeleza sasa amejikwamua na kuiachia video ambayo ilikuwa imewapa mashaka mashabiki wa muziki wake na wale ambao hufuatilia karibu muziki mzima wa buja fleva.

Nikukumbushe kuwa maneno yote yalianza baada ya kufanya ile show iliyopewa jina la MASTERLAND VIDEO PREMIERE,lakini cha kushangaza ni kwamba hiyo video haikuonyeshwa hiyo siku na watu wakawa na maswali mengi na kuanza kumuona kama muongo kwa kazi yake ni kitendo alichokifanya.

Kwa sasa tayari amaeamua kuachia video hiyo nakuiweka wazi kwa madhumuni ya kufuta mashaka mashabiki na wapenzi wa muziki wake kwa ujumla.

Kuwa mtu wakwanz akutazama video hiyo na kuburudika zaidi ukiwashirikisha na wengine habari hii.

Cha kutekeleza ni kwamba:

Wimbo umepewa jina la ALIMA, ambao umetengenezwa na MASTERLAND mwenyewe kutoka MASTER MUZIK RECORDS.Video nayo imetengenezwa na Mkali kutoka GREAT HILL VISUALIZE,ELARTS.

Favicon swahilimedias masterland awaondoa mashaka mashabiki wake