Swahilimedia Masterland atangaza wimbo wake wa ALIMA kuwa hit song Today update
moja kati ya habari zinazotrend kwenye mitandao ya kijamii hizi siku ni hii ya mwanamuziki kutoka Nchini Burundi anayetambulika kwa jina la MASTERLAND kutangaza kuwa wimbo wake wa ALIMA wimbo ambao umetoka na video yake kuwa HIT SONG.

Harakati hizo zimeibuka wakati wa show iliyofanyika mkoani GITEGA show ambayo ilikuwa imeandaliwa na msanii kutoka mkoani humo anayetambulika kama CHRIS BIZ ambapo alikuwa akitambulisha wimbo wake mpya ambao ulipewa jina la AKAPENTECOTE.

MASTERLAND alipata nafasi nzuri ya kuperform nyimbo zake kwa shangwe kubwa.Baada ya kufikia hatua ya kuimba wimbo wake mpya wa ALIMA alijikuta akiimba wimbo huo kwa kushirikiana na watu ambao walikuwa wamehudhuria show hiyo kitu ambacho kimemfanya kupigwa na butwaa sana na kumuagiza MC amabae alikuwa anaendesha show nzima wakati huo eti aende awaambie watu kuwa ALIMA NI hit song.

cheki alichoikipost kwenye kurasa zake tofauti tofauti ikiwemo hii ambayo imepita kwenye ukurasa wake wa facebook yake.
Swahilimedia Masterland atangaza wimbo wake wa ALIMA kuwa hit song Today update

Kwa mjibu wa MASTERLAND ameambia waandishi wa SWAHILI MEDIAS kuwa ALIFURAHISA MAPOKEZI YA WATU WA gitega na imempa nguvu kubwa kuwa watu walikuwa na uwezo wa kuimba wimbo wa ALIMA mwanzo mwisho wakat wimbo huo ulikuwa na siku kama mbili umetoka.

Kama hujapata nafasi ya kutazama video ya wimbo huo ,ebu katazame hapa chini bila chenga zozote.
Usisahau kushare na wenzako kama kawaida yetu.

Favicon Swahilimedia Masterland atangaza wimbo wake wa ALIMA kuwa hit song Today update