Swahilimedia Happy Famba ataja kuja kivingine Today Update

Mwanamuziki ambae ni CEO pia wa THE FIGHTER PRODUCTION amefunguka na kusema ujio wake mwingine baada ya kuwa kimya kwa muda mchache sana.
Kupitia mahojiano na mwandishi wa SWAHILI MEDIA,HAPPY FAMBA amesema kwamba anatarajia kuachia wimbo wake mpya baada ya WHY ME ambao ni wimbo umefanya vizuri na kumjengea picha nyingine kwenye INDUSTRY NZIMA YA BUJA FLEVA.

Amesema kwamba wimbo huo ambao umepewa jina la MY TIME inamaana MUDA WANGU unatarajiwa kuachiwa mnamo mwanzo wa MWEZI wa NOVEMBER.

Tumejaribu kuuliza ni kitu gani au ujumbe gani ambao huo wimbo umebeba na ni kitu gani ambacho kiko nyuma yake?

Amefunguka na kusema kwamba « Anawambia watu kuwa muda wake umefika,wakiona anafanya mambo makubwa wasishangae »

Hoyo ndiyo maneno aliyozungumza mwenyewe na mwaandishi wetu.

Endelea kuosha macho yako kwa kuitazama video ya WHY ME BY HAPPY FAMBA mwenye.

Usisahau kushare na wenzako habari hii.

Favicon Swahilimedia Happy Famba ataja kuja kivingine Today Update