Watu wengi wana sema eti Platnumz ana shindwa kutunga nyimbo zake ndo maana ana imba nyimbo za wasani wengine. Aliye imba wimbo -Salome ambao Platnumz ali imba kwa ki vyake ana tupatia onyo lake kuusu wimbo huo.

Sikiliza anavyo ongea na usi kose ku share na ku comenti video hii.

Favicon SIKILIZA GINSI SAIDA KAROLI ANAVYO SEMA KUUSU WIMBO MPYA WA DIAMOND PLATNUMZ SALOME