ONLY YOU BY PDK DADDLUZ FEAT MARIA ZULU Download mp3
Mwanamuziki kutoka nchini burundi PDK DADDLUZ mwenye makaazi yake nchini Afrika kusini ameachia wimbo wake mpya akimshirikisha mwanamuziki wa kike raia wa Afrika kusini anayetambulika kwa jina la MARIA ZULU.
Wimbo huo umepewa jina la ONLY YOU ukiwa umetengenezwa ndani ya studio za CAPITAIN SOUND RECORDS nchini afrika kusini.

kuwa wa kwanza kupakua na kusikiliza wimbo huo hapa chini.

Usisahau kushare na wengine

Favicon ONLY YOU BY PDK DADDLUZ FEAT MARIA ZULU Download mp3