My Gatima by Kirikou feat Masterland download mp3
Kuna vitu vingine kuamini kwenye maisha inakuwaa ngumu sana lakini wakati mwingine unakuwa huna budi kuamini unapoaminishwa.

sasa hii ni moja ambayo inakufanya uelewe kuwa ukweli unakuwa wazi mara nyingi kutokana na kile ambacho kinakupa radha unazozitaka.

usiumize kichwa sana kutaka kujua nini kimetokea,kuwa mtu wa kwanza kusikiliza ngoma mpya ya kwake mwanamuziki mchanga sana dogo ambae anafanya mambo makubwa sana ukilinganisha na uwezo wake.

hii ni moja kati ya zile ambazo zinaleta changamoto kubwa sana kwenye industry ya muziki mzima nchini burundi.

kijana anahesabika kwenye umri wa miaka kumi na mitano sasa amedhibitish uwezo wake wa kuimba.

sikiliza na pakuwa wimbo wake ambao anautambulisha kwa sasa akiwa na producer Masterland pro anaetokea MASTER MUZIK PRODUCTION.
wimbo umepewa jina la MY GATIMA BY KIRIKOU FEAT MASTERLAND.

USISAHAU KUWASHIRIKISHA WENZAKO

Favicon My Gatima by Kirikou feat Masterland download mp3