SGLM ime fanya interview na msanii kutoka DAR es salam wa mziki wa BOLINGO: Mr. KABA 5.
Msanii huyo ana sema kwamba medias zina sahahu au hazi promoti mziki wa Bolingo. Yaani zina promoti sana style ya Bongo Fleva kuliko style zingine  .

Favicon Msani Kaba 5 kutoka Dar ana tueleza kwa nini muziki wa BOLINGO ume shuka chini mchini TZ I