Baada ya kuachia video yao ya wimbo mpya NDOROSHE masaa machache video hiyo imechukuliwa hatua ya kutopitishwa kwenye baadhi ya vituo vya televisheni ikiwemo REMA TV,hayo yote ni kutokana na baadhi ya picha zinazowaonyesha watu wawili wakiwa kitandani huku zaidi wakiwa kwenye hali ya kupeana mahaba.

Jasho la Mirror Team lageuzwa kilio

Picha hizo ambazo zinapatikina kwenye ubeti wa pili,huku akigaragara kijana akiigiza mapenzi na msichana hali ambayo imewapelekea watazamaji kuichukulia kivingine.

Mkulugenzi wa REMA TV kupitia kipindi cha jana na Mtangazaji Lenine Manario amechukua uamuzi na kusema kuwa video hiyo haitapitishwa kwenye kituo hicho.

Jasho la Mirror Team lageuzwa kilio

Baada ya TV hiyo kuchukuwa uamuzi huo,Mwandishi wa SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS hakukawia hakukawia aliwatafuta vijana wa MIRROR TEAM ili kupata habari zaidi.

SIM BIZZ ametwambia kuwa hajafurahishwa na hatua hiyo hata kidogo kwa sababu mtu kumwaga jasho zaidi huku akihitaji matunda mazuri arafu anaambulia maganda.Ni kitu ambacho kinakatisha tamaa sana.

akizungumza kwa lugha ya taifa amesema

…. » Nk’umuntu wariwe wese yikokoye ngwikorwa ciwe gishike kure hama kikanigirwa mu menshi ntitwavyakiriy neza… »

Kwa kumalizia,amesema tena akiomba….

« Ico dusaba nuko ingingo nkizo zica intege abararirimvyi bigihugu cacu zitobandanya kuk bidusubiz inyuma
 Hama natw nkuko vyama tugiy kubandany ibikorw vyacu urets ko har abob babitoy utunenge har bensh babishima knd baguma baduter intege…mwitege ibindi bikorwa vyiza gusumba mumisi »

Hatukuishia hapo tumefungasha safari mpaka kwa aliyetengeneza video hiyo kijana anayetambulika kama LANDRY SB kutoka jumba la GRAND PICTURES.

Nae ametwambia ya kwamba…..

» Mukuyikora twarabona kw’izo ngorane ko tuzohura nazo ariko ntivyaduciy intege cane ahubwo nuko ama TV yahano iwacu yokwuguruka amaso ya monde tugezemwo ikindi kimbabaza nuko banka gucishako izabarundi muga izabanyamahanga nizo zama zicako. »

Jasho la Mirror Team lageuzwa kilio

« Kimw twafashe kuva tugitangura nuko turiko turondera support kuma TV yohanze ».

Hicho ndicho walichotwambia vijana hao.

Ukiwa bado hujapata kuona video hiyo yote,Itazame hapa chini kisha majibu utayapata mwenyewe.Usisahau kuwashirikisha wenzako.

 

 

 

 

Favicon Jasho la Mirror Team lageuzwa kilio