Baada ya kupata ruhusa kutoka kwa wapinzani wa Rais Kabila, raiya ili toka inje ili ifanye baandamano ya kutowa Raisi mtawala wa Rd Congo kwenye mamlaka.Bali wakati wa mahandamano maskari wa RDC Wali fika na waanza kuwa piga watu ma risasi. Oneni video hii kwa maelezo zaidi.

Favicon Ginsi maskari wa Rais Kabila wali kuwa wana huwa raiya inayo fanya maandamano