Aki hutubia raia wa congo waishio uingereza juma pili january 19,rais wa drc Felix Kisekedi ameonyesha ya kuwa Banyamulenge ni raia wa drc.Masemi hayo yazusha hali ya sito fahamu miongoni mwa wana siasa na raia.
Félix Tshisekedi asema »Banyamulenge ni wa congomani,wamebaki vizazi na vizazi katika inchi ya drc.Ni sawa sawa na nyinyi namna mlivyo pata uraia inchini.Nime waambia na kuwaomba waoneshe kwa vitendo kwamba wao ni wacongomani ».
Masemi yake Félix Tshisekedi yazusha vuta ni kuvute kwenye vyombo vya habari na kwenye mtandao ya kijamii.Kuna wa congomani wengine,wanatupilia mbali masemi hayo na kusema ya kuwa Banyamulenge ni wenyeji wa Rwanda.Felix DRC F lix Tshisekedi adhibitisha ya kuwa Banyamulenge ni raia wa drc

Favicon DRC F lix Tshisekedi adhibitisha ya kuwa Banyamulenge ni raia wa drc