Albert NZOBE 28 janvier 2020
Mai-Mai walichukua mateka takriban wavuvi arobaini ambao wanafanya kazi eneo la Vitchumbi pa Rutshuru wakiendesha uvuvi katika ziwa Edward Jumatatu, Januari 27, 2020. Utekaji nyara wa wavuvi hao,ulipelekea uporaji wa mitumbwi kadhaa. Mashirika za kiraia kivu kaskazini,wanaiomba serekali ya drc kutowa huduma za usalama ili wavuvi walio kamatwa mateka wakombolewa mikononi mwa maimai. Mara kwa […]
Albert NZOBE 27 janvier 2020
Baada ya Jenerali Evariste Ndayishimiye kuteuliwa kuwa mgombea kwenye uchaguzi wa mei 2020 inchini Burundi akitokea chama tawala cha CNDD-FDD,wengi wana tegemea kwamba watayaona mabadiliko makubwa ikiwa atafaulu kuchaguliwa kuwa rais wa inchi hiyo. Hata hivyo wengi wanasema Burundi imepiga hatua kubwa baada ya rais anayaemaliza muhula wake hivi karibuni kutekeleza ahadi yake ya kutogombea […]
Albert NZOBE 26 janvier 2020
Jenerali Evariste Ndayishimiye ametangazwa kuwa mgombea wa urais katika uchaguzi mkuu ujao inchini Burundi.Huyu ata wakilisha chama tawala cha CNDD-FDD katika uchaguzi ujao. Rais wa sasa Peter Nkurunziza ,alitangaza ya kuwa kamwe hata wania tena ugachugi utakao fanyika mwezi mei 2020. Kutangazwa kwake Jenerali Evariste Ndayishimiye kumefanyika leo juma pili katika kikao kilicho endeshwa katika […]
Albert NZOBE 25 janvier 2020
Katibu mkuu wa Chama cha People’s Reconstruction and Democracy (PPRD) alizuiliwa Ijumaa Januari 24 kusafiri kwenda kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa N’djili.Kulingana na vyanzo vya karibu na uwanja wa ndege ambao waliwakilisha kwa vyombo vya habari Juma mosi hii, Ramazani Shadary na Marcelin Cishambo walitaka kufanya safari hii kwa kutumia pasipoti zao za […]
Albert NZOBE 21 janvier 2020
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ametishia kuwafuta kazi Mawaziri wake na kulivunja bunge, iwapo washirika wake wa Kisiasa ambao wanaegemea katika mrengo wa Rais wa Zamani Joseph Kabila, wataendelea kumdharau Tshisekedi amesema, “Wamenipa tabu sana, wanasubiri nishindwe kutimiza kazi yangu. Wananisukuma kufanya mambo ambayo sijapanga kufanya, kama ni kuvunja Bunge naweza kulivunja, na […]
Albert NZOBE 21 janvier 2020
Aki hutubia raia wa congo waishio uingereza juma pili january 19,rais wa drc Felix Kisekedi ameonyesha ya kuwa Banyamulenge ni raia wa drc.Masemi hayo yazusha hali ya sito fahamu miongoni mwa wana siasa na raia. Félix Tshisekedi asema »Banyamulenge ni wa congomani,wamebaki vizazi na vizazi katika inchi ya drc.Ni sawa sawa na nyinyi namna mlivyo pata […]
Albert NZOBE 20 janvier 2020
“DRC tayari Kugawanyika kwa pasenti 70, Rais wa sasa Félix Tshisekedi anaendeleza kazi ya mtangulizi wake Joseph Kabila”.Ni masemi yake mgombea wa dhamani kwenye urais inchini drc,Martin Fayulu.Habari zinazo kamilishwa kwenye mtandao wa La libre Afrique.January 17 aliendesha maandamano akipinga inchi kugawamyika.Mashtaka yake yote yatupiliwa mbali na Umoja wa Mataifa pamoja na inchi ya Rwanda.
Albert NZOBE 20 janvier 2020
Shirika jipya la kiraia la andaa mgomo baridi mnamo januari 23 katika eneo la uvira ,wa kipinga inchi ku tawaliwa na wageni.Andre Byadunia Kiongozi wa shirika jipya la kiraia aliambia swahili grands lacs medias yakuwa »Hatuja sikia hata raia mmoja ambae yuko tayari kwamba inchi ya drc igawanyike .Hiyo ni sababu mmoja wapo Sisi hatu […]
SGLM 20 janvier 2020
Shirika jipya la kiraia la andaa mgomo baridi mnamo januari 23 katika eneo la uvira ,wa kipinga inchi ku tawaliwa na wageni.Andre Byadunia Kiongozi wa shirika jipya la kiraia aliambia swahili grands lacs medias yakuwa »Hatuja sikia hata raia mmoja ambae yuko tayari kwamba inchi ya drc igawanyike .Hiyo ni sababu mmoja wapo Sisi hatu […]
SGLM 19 janvier 2020
Takriban watu 3,200 waliohama makazi yao kutokana na ukatili wa eneo la Djugu kwenye eneo la Tsere, kwenye kilomita 10 kusini magharibi mwa kituo cha mji wa Bunia katika tarafa la Ituri, wanajikuta katika dhiki hadi leo kwa sababu ya ukosefu wa chakula. Taarifa hii yatolewa Jumamosi hii, Januari 18, 2020 na Claude Rutuka, meneja […]