yapata raia kumi na tano wame uliwa na wengine kumi kutekwa nyara katika shambulio linalo susiwa kuendeshwa na waasi wa Yuganda wa ADF usiku wa Jumatatu, Februari 17 katika maeneo ya Alungupa sekta ya Rwenzori, wilayani Beni.

Duru za mali za hakikisha na kusema »Shumbulio limeanza karibia saa 4 usiku.waasi wa ADF walivamia kijiji na ku wauwa watu kumi na tano,tano kati yao wakiwa wa familia mmoja.Baada ya kuuwa raia,walianza kupora mali ya wana kijiji ».

Naibu msemaji wa jeshi la FARDC inchi Drc, Jeneral Sylvain Ekenge ,amesema ya kuwa wana taarifa kuhusu mauwaji yaliyo endeshwa huko Beni na huku akisema kwamba wana taarifa ya watu saba kupoteza maisha.Ame hakikisha kwenye redio okapi na kusema ya kuwa Jeshi la taifa laendelea kumsaka adui.

Mashirika za kiraia kivu kaskazini na kivu kusini wana hofia sana usalama wa raia na kuiomba serekali ya Drc kufanya kila linalo wezekana ili kuepukana na hali hiyoBbbb BENI DRC Yapata raia kumi na tano ya uliwa na ADF mbaya inayo endelea ku hasiri raia wa Beni.

Favicon BENI DRC Yapata raia kumi na tano ya uliwa na ADF