
Rwanda/Kizito Mihigo akutwa amefariki,maswali kadhaa yaulizwa kwenye mitandao ya kijamii.
Pale tu taarifa za kifo chake mwana mziki wa nyimbo za injili inchi rwanda zilipo tangazwa,maswali kadhaa yameanza kuliizwa na watumiaji wa mitandao ya kijamii,wakitaka kufahamu njia halisi ya kifo chake. Kizito Mihigo, msanii maarufu wa nyimbi za Injili nchini Rwanda alipatikana amefariki dunia Jumatatu Februari 17 katika chumba ambako alikuwa anazuiliwa kwa muda wa […]