Bonge la concert lilikuwepo kwenye ukumbi wa CENTRE DUROCHER mjini Québec nchini Canada ambapo mugeni rasmi alikuwa muimbaji marufu kutoka jamuhuri yamuungano wa Tanzania Christine Shusho.

Watu walikuwa wengi mno kiasi kwamba wameomba mwakakesho aruditena kuwaburudisha na kuwafanya wabarikiwe mno. Ameweza kuimba nyimbo takribani nane(8) waliokuwepo wamefurahiasana kiasikwamba wangeweza kusimamisha masaa wangefanya hivyo iliwazidi kunogeshwa nanyimbo zake.

Wengi wameonesha kuwa wanapenda nyimbozake, walipokuwa wanarudilia kwasauti kubwasana akianza kuimba.
Wengine kuomba arudiliye baadhi yanyimbo alizokuwa ameshaimba kwakuwa zinawajenga.
Amenifanya ning’ae, NK…

Baada ya concert kumalizika watu wameomba kupiga self naye kwasababu yakumbukumbu. Ameweza kumalizia kwakushukuru wa injiristi waliokuwepo na waumini waliokuwepo hususana « Église Évangélique Missionnaire de Jésus-Christ » waliofanya iwezekanavyo awezekufika hapa nchini Canada mjini Québec city.
sikiliza hapa chini ginsi alivyo ongeya :
Na ukimaliza usikose ku share nakala hihi:

Favicon Bonge la concert la Christine Shusho mjini Qu bec city nchini Canada