Tarehe tano february,warundi toka makabila tofauti wa sherehekea umoja wao.
Ni sasa miaka 29 toka warundi kukubaliana kwa pamoja kudumisha umoja.
Baada ya miaka kadhaa iliyopita ambapo kulionekana utengano na shutma za uadui zikitolewa kila pande.
Licha ya hayo,kwa sasa Warundi husema ya kuwa wanashikamana baada ya ku saini makubaliano ya Umoja wa Warundi »Amasezerano y’ubumwe bwa Barundi ».

Favicon Warundi wa sherehekea umoja wao