Jaribu kusikiliza utambulisho wanyimbo USIJALI kutoka kwa OLZA boy raisi wa machali , anakuomba uweze ku download nyimbo kwamanufaa mazuri sana coz itakuwa nisupport kubwa sana kwake utakuwa umeonesha na kuthamini kazi yake. Akisema » nimeanza kufanya shuting yanyimbo Usijali nilianza jana nawaomba ma fans wangu wasubilie video hio itakuwa kwa Quality nzuri sana.

IconSGAudio 509 Utambulisho Wanyimbo USIJALI kutoka OLZA BOY Kwasiku Yaleo Kwenye Kipindi Diaspora Show
Favicon Utambulisho Wanyimbo USIJALI kutoka OLZA BOY Kwasiku Yaleo Kwenye Kipindi Diaspora Show