Hatimae kipindi ambacho wengi mlikuwa mkikisubiria kwa hamu tele karibuni kitaanza kusikikia bila chenga zozote.

Mwendeshaji wa kipindi hicho Adrian LAVISTA  ameambia SGLM kuwa tayari kazi itaanza kufanyika siku chache zisizo zindi hata tatu.

Amemaliza akiwaomba wapenzi wa maendeleo hasa kupitia sanaa yoyote ile kuanza kuwajibika ili kuinua uwezo wao na kuutangaza zaidi kimataifa.

Kipindi TODAY KWETU ni kipindi kinachohusiana na kukuza sanaa na kuitangaza zaidi huku kikiwapa muda mzuri wasanii wowote walipo kuamka na kuanza kufanya makubwa zaidi.

Sikiliza utambulisho wa kipindi hicho.

Washirikishe wenzako.

 

Favicon Utambulisho wa TODAY KWETU na Adrian Lavista