Fanyeni angalisho mara tuna starehe kwenye parc na mtu fulani ambaye hamtujuwe ana jileta na kutuomba msaada. Tuna msaidia lakini akienda zake mtu huyu  ana tu hiba hela, simu, saa  au vitu vingine.

Favicon Usi amini mtu anaye kusemesha haujuwe kama ni mwizi