Ukimuona by 2 Minutes YEYE download mp3
Mwanamuziki anaejulikana kwa jina la 2MINUTES YEYE mwenye makazi yake SOUTH AFRICA amaeachia wimbo wake mpya uliobatizwa jina la UKIMUONA ambao umepigwa kwenye miondoko ya zouk taratibu.
Sikiliza na download wimbo huo hapa.
Ikiwa we ni msanii unahitaji kazi zako zipite hapa,wasiliana na sisi kupitia nambari +257 75 49 72 58(whatsApp)

Favicon Ukimuona by 2 Minutes YEYE download mp3