Rapper kutoka WAKAVU kwa kushirikiana na Rapper mwenzake MASTER BK kutoka EAST CAMP kupitia ukurasa wao wa facebook wamepost maneno yaliyoambatanishwa na picha ambayo inayowaonyesha wakali hao wa mitindo ya Rappe wakiwa wamemzunguka mrembo mmoja huku picha hiyo ikiashiria kuwa COVER ya WIMBO  wao ambao inavyoonekana unabeba jina la MWAMBIE.

Teacher kupitia ukurasa wake wa facebook ameandika maneno yafuatayo

……………..Kumuelimisha mwanamke ni ku-uelimisha ulimwengu. Je upo tayari kumwambia? Share picha hii ni kutume ujumbe… Nani anaambiwa?… Coming soon By TEACHER ft MASTER BK   WAKAVU & EAST CAMP…….

Master BK naye akaandika yafuatayo

………………

Mwanamke akinyoshewa kidole kila corner ujue kunajambo jameni mwambie jirani akamwambie ili tuokoe kizazi chetu .

Habari ndio hiyo .

Abandingo kamingi soni !!!

Hollaback .

Sinagashowbiz isipokua kuanda kazi zitakazoelimisha jamii.

#ec101 na #wakavu kitanuka.

Hayo ndiyo maneno kutoka kwa Rappers hao.Mi na wewe hatujui kama hayo ni moja kati ya mashairi yanayopatikana kwenye ngoma hiyo,ila ngoja tukae mkao wa kula majibu tutayapata.

Washirikishe wenzako.

Favicon Teacher na Master BK njiani kuachia jiwe kubwa