Search in the website:

NGM

Swahilimedia │ Pamy Queen- Sinarinzi │Download mp3

8 octobre 2017

Kuwa wakwanza kujipatia wimbo mpa wa kwake mwanamuziki wa kike anayejulikana kama PAMY QUEEN,mwanadada ambae kwa sasa anaonekana kuja kivingine kwenye industry nzima ya BUJA FLEVA. Usisahau kushare na wengine kama kawaida yetu. Ikiwa we ni msanii na unataka kazi zako zipitishwe hapa na kwenye vipindi vyetu tofauti,usishindwe kuwasiliana na sisi kwenda nambari +257 75497258 […]

Read More

Swahili media │Bejp Sunrise – Wandutiye Bose (Official Video)

8 octobre 2017

Burundian artist known as BEJP just drops his new audio video entitled WANDUTIYE BOSE. The audio was produced by TAMBWE TOUCHEZ IN DOP MUSIC and the VIDEO WAS SHOT BY ELARTS from GREAT HILL VIZUALISE. Be the first to watch and listen to it. Keep sharing this video for more update news.

Read More

Swahilimedia│ Happy Famba ataja kuja kivingine│Today Update

7 octobre 2017

Mwanamuziki ambae ni CEO pia wa THE FIGHTER PRODUCTION amefunguka na kusema ujio wake mwingine baada ya kuwa kimya kwa muda mchache sana. Kupitia mahojiano na mwandishi wa SWAHILI MEDIA,HAPPY FAMBA amesema kwamba anatarajia kuachia wimbo wake mpya baada ya WHY ME ambao ni wimbo umefanya vizuri na kumjengea picha nyingine kwenye INDUSTRY NZIMA YA […]

Read More

Share
Share