Search in the website:

NEWS

Waasi wa rwanda wa kundi la CNRD pamoja na familia zao warejeshwa inchini Rwanda

25 Décembre 2019

Idadi ya watu 1542 walikamatwa na jeshi la jemuhuri ya kidemokrasia ya congo.kati yamo kikundi cha wapiganaji 71 wakiwa waasi wa rwanda. Jumla ya watu 1,542 (wapiganaji 71 na familia zao wakiwa watu 1,471) walikabidhiwa kwa viongozi wa Rwanda Jumamosi na maafisa wa jeshi la Kongo mpakani na Ruzizi ya kwanza, » Msemaji wa jeshi […]

Read More

Swahilimedia| Maisha halisi ya SPOKS Man| Bio

7 novembre 2017

Fahamu maisha halisi ya Mwanamuziki kutoka Nchini Burundi SPOKSMAN. Spoks alizaliwa tarehe 15, April mwaka 1992 katika Hospitali ya Prince Regent Charles iliyopo BURUNDI jijini Bujumbura na kupewa jina la Dushimirimana Eric . Akiwa na umri mdogo wazazi wake walifariki akalelewa Bwiza kwa bibi yake mzaa mama. Elimu yake ya Msingi yaani (Primary School) alianza […]

Read More

Swahili media|DJ PRO awashia moto Mkali wa Show

6 novembre 2017

Mwanamuziki wa kizazi kipya kutoka nchini Burundi anayetambulika kama DJ PRO amewasha moto kwa Msanii mwenzake anayetambulika kama MKALI WA SHOW kupitia wimbo wake mpya uliopewa jina la BLAA BLAA aliomshirikisha EMERY SUN. Nikukumbushe kuwa tofauti za hawa wasanii wawili zimeanzia kwenye mitandao ya kijamii ila kwa sasa tayari zimefika ndani ya jamii halisia ya […]

Read More

Swahilimedia │Wimbo wa Wangu by Natacha feat.Shebbah watarajiwa kuimbwa Coke Studio Africa

26 octobre 2017

Baada ya kuwa wimbo wa WANGU wa kwake NATACHA akimshirikisha SHEBBAH wa UGANDA kuachiwa nje na kupokelewa kwa shangwe kubwa na sapoti nyingi sana. Sasa wimbo huo unatarajiwa kuimba COKE STUDIO AFRICA na SHEBBAH. Kwa mjibu wa Mwanahabari wa NATACHA ,DJ RAPHAN amesema kwamba tayari washaweka makubaliano na SHEBBAH kuwa wimbo huo utaibwa kwenye show […]

Read More

Swahili media │Wafahamu washindi wote wa AFRIMMA AWARDS 2017│Today Update

9 octobre 2017

Ugawaji wa tuzo za Africa Muzik Magazine Awards & Music Festival (AFRIMMA) umefanyika alfajiri ya leo nchini Marekani katika jiji la Dallas Texas, huku mstaa kama Diamond Platnumz, Victoria Kimani, C4pedro, Tiwa Savage na wengine wakiibuka vinara wa tuzo hizo. 1│Best Male West Africa – Falz (Nigeria) 2│Best Female West Africa – Tiwa Savage (Nigeria) […]

Read More

Swahilimedia│ Happy Famba ataja kuja kivingine│Today Update

7 octobre 2017

Mwanamuziki ambae ni CEO pia wa THE FIGHTER PRODUCTION amefunguka na kusema ujio wake mwingine baada ya kuwa kimya kwa muda mchache sana. Kupitia mahojiano na mwandishi wa SWAHILI MEDIA,HAPPY FAMBA amesema kwamba anatarajia kuachia wimbo wake mpya baada ya WHY ME ambao ni wimbo umefanya vizuri na kumjengea picha nyingine kwenye INDUSTRY NZIMA YA […]

Read More

Swahilimedia │Masterland atangaza wimbo wake wa ALIMA kuwa hit song│Today update

4 octobre 2017

moja kati ya habari zinazotrend kwenye mitandao ya kijamii hizi siku ni hii ya mwanamuziki kutoka Nchini Burundi anayetambulika kwa jina la MASTERLAND kutangaza kuwa wimbo wake wa ALIMA wimbo ambao umetoka na video yake kuwa HIT SONG. Harakati hizo zimeibuka wakati wa show iliyofanyika mkoani GITEGA show ambayo ilikuwa imeandaliwa na msanii kutoka mkoani […]

Read More

News│LOLILO ageuza video yake Filamu ya actions

22 septembre 2017

Msanii nguli wa BUJA FLEVA anayejulikana kama LIZZO au LOLILO A.K.A MZIZI WA JIWE,ameonyesha utofauti wake na kazi zake ambazo ashawahi kufanya toka anaanza muziki. Msanii huyo ameibuka na style au muonekano mpya kwenye video yake mpya ya wimbo wake uliopewa jina la KABIRIBIRI. Video hiyo ambayo imeachiwa asubuhi ya leo imeonekana kuleta gumzo na […]

Read More

News│Mapokezi ya SAUTI SOL nchini Burundi

21 septembre 2017

Kwa shangwe na ndelemo ambazo zimewapokea wasanii maarufu ambao wanaunda kundi nzima la SAUTI SOLO zimewafanya kujisikia wamefika kwenye ulimwengu mwingine ambao ni mpya na wenye ufahari wake. Walipowasili leo mchana wa tarehe 21 Septemba 2017 MAjira ya saa nane wamepokelewa na ndelemo za wapiga ngoma kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Bujumbura kama […]

Read More

Tofy Gas adai kuvunja ukimya wake.

19 septembre 2017

Bada ya muda mrefu kidogo akiwa kwenye ukimya ambao ulizua maneno na viulizo vingi kwa mashabiki na wapenzi wa muziki wake Msanii wa muziki wa kizazi kipya anayetambulika kama TOFY GAS,sasa ameamua kuvunja ukimya na kufunguka zaidi . Akiongea na wandishi wa habari amesema kuwa anatarajia kuachia wimbo wake mwingine baada ya STAY STRONG,NA KWANINI […]

Read More

Load more

Share
Share