Search in the website:

LGT

Swahili media| Remember my name by LGT|Download mp3

23 novembre 2017

Mwanamuziki kutoka Burundi mwenye makaazi yake Nchini Afrika kusini ameachia wimbo wake mwingine baada ya kujijengea taji kwa ngoma zake kama FAR AWAY, DONT LET ME GO akiwa na mwenzake YSK. Kwa sasa ameamua kuonyesha ukali wake kwa ngoma yake mpya ambayo amefanya pekee yake. Ngoma imepewa jina la REMEMBER MY NAME ikiwa imetengenezwa na […]

Read More

Share
Share